2025 2024 2023 2022 2021 2020 2019 2018 2017 2015 2014 2013 2012 2011 2010 2009 2008 2007 2006 2005 2004
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Réunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Tunisia Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Sousou & Maher Cissoko
Country Senegal Sweden Genres band jazz roots traditional Website www.sousoumaher.com Festival Sauti za Busara 2011, 2013 Recordings 📼 Adouna (2008); Stockholm - Dakar (2011)
Wanamziki hawa wawili wanatambulika kuwa uimbaji wao uliojawa maelezo na mwendo mziki wakitofauti. Na si kama bendi nyingine Sousou na Maher wanakuletea mziki wenye ladha ya Afrika Magharibi tangu kuifungua Albam yao 2008, inaitwa Adouna. Wameshafanya maonyesho mbalimbali katika nchi za Scandinavia, Senegali na Afrika Kusini. Maher Cissoko ametokea katika familia ya wanamziki wakongwe na kurithishwa ala hii ya kora kutoka kwa wazee wake. Mwanadada Sousou Cissoko ni mwanamziki wa kipekee wa kike anaeshikilia rekodi hiyo mpaka leo. Bendi hii inajumuisha wasanii kutoka nchi kama Senegali na Sweden ambao niwapigaji wa magitaa, percussion na bass.
With thanks to Swedish Arts Council