Busara symbol - click for home page

Sauti za Busara 2009

12 - 17 February 2009

Call for Artists / Wito kwa wasanii / Appel d’artistes

Tuma nakala za rekodi zako za hivi karibuni, zitufikie kabla ya tarehe 31 Agosti 2008

Zaidi ya vikundi mia mbili tayari vimekwisha shiriki katika matamasha yaliyopita ya Sauti za Busara  baadhi yao ni Jose Chameleone, Juma Nature & Wanaume Family TMK, Saida Karoli, Didier Awadi & Phat 4, Eric Wainaina, Bassekou Kouyate & Ngoni ba, Seckou Keita Quartet, N’faly Kouyaté, Culture Musical Club, Chibite na wengineo wengi.

Jopo la uchaguzi litakutana mwanzoni mwa mwezi wa September kuchagua wasanii watakao shiriki tamasha la Sauti za Busara 2009.Maombi yako yatashughulikiwa katika uchaguzi endapo tutapokea maombi kutoka kwako kabla ya  mwisho wa mwezi wa august:

  • Form ya maombi iliyojazwa
  • Nakala moja au mbili za kazi zako (CD, DVD au MP3)

Unaweza kututumia maombi kwa njia ya barua pepe au kwa njia ya posta.Tafadhali hakikisha kuwa umetuma maelezo mafupi  ya kundi (yasiyozidi maneno 1000)

Unaweza kutuma nakala za kazi zako kwa njia ya barua pepe. LAKINI tafadhali usizidishe ukubwa ! Ukubwa wa kazi uliyoambatanisha uwe 5MB kwa barua pepe.

Pia unaweza kutuma nakala ya kazi zako katika ofisi zetu (tumia anuani hapo chini.)

Kwa wasanii watakao chaguliwa kushiriki katika tamasha au warsha, waandaaji wa tamasha watagharamia malipo kwa ajili ya onyesho wakiwa Zanzibar, ikiwa ni pamoja na usafiri, malazi, chakula na matumizi madogo madogo. Kwa wasanii kutoka nje kawaida wanatakiwa kutafuta wadhamini kwa ajili ya gharama za usafiri.

 

Tafadhali jaza form.Unaweza kujaza kwa njia ya barua pepe, au kutoa kopi na kuituma kwetu kwa njia ya posta

* Maeneo yenye alama ya * ni lazima

 

NB This form is also AVAILABLE IN ENGLISH. Please choose BEFORE starting to fill in the details.

Fomu hii inapatikana KWA KIINGEREZA PIA. Tafadhali chagua kabla ya kuanza kuijaza.

Jina la Kikundi: *
Idadi ya Wasanii: *
Idadi ya wahusika wengine: *
Nchi ya Asili/Kuzaliwa: *
Aina ya muziki : *
 
Maelezo ya kikundi/msanii (maneno yasizidi1000):  
Tumia nafasi hii kwa ajili ya maelezo ya ziada au maoni:  
Tovuti:    
 
Kama unatoka nje ya Afrika Mashariki, je unaweza kupata ufadhili wa usafiri wako? *
ndio hapana labda
Jina la Muhusika: *
Anuani ya barua pepe: *
simu:  
Anuani ya Posta:  
Nchi unayotoka:  

 

Tuma nakala za rekodi zako za hivi karibuni, zitufikie kabla ya tarehe 31 Agosti 2008

Busara Promotions
by post
in person

PO Box 3635

Zanzibar

Tanzania

between Africa House and Serena, opposite Amore Mio. Shanghani, Stone Town, Zanzibar, Tanzania

 

this site is hosted by Zanzibar.NET